Jumanne, 22 Septemba 2020

BUS TICKET

 JE? UNAHANGAIKA KUPATA HUDUMA YA TIKETI ZA MABASI NA KUSAFIRISHIA MIZIGO (VIFURUSHI) KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA MKOANI?   


USIRI TRANSPORTATION SERVICES

 USIRI TRANSPORTATION  NI  KAMPUNI YENYE UWELEDI WA KAZI  KUKUHAKIKISHIA MTEJA UNAPATA MZIGO WAKO  KWA UHAKIKA NA UAMINIFU WA HALI YA JUU LICHA YA HUDUMA TUNAYOTOA BEI ZETU NI RAFIKI ZAIDI KWA WATEJA WETU  TUNAPENDA KUWAKARIBISHA WATEJA WETU KARIBUNI SANA USIRI TRANSPORTATION IS THE BEST FOR YOUR SERVICES KARIBU TUKUHUDUMIE  


 

PIA USIRI TRANSPORTATION INADEAL NA MIKOA  YOTE HATA NCHI JIRANI KAMA KENYA MOMBASA  PIA KWA WALIOPO DAR ES SALAAM TUNAHUDUMA YA KUFUATA MZIGO KWA WATEJA WETU KWA BEI NZURI KABISA ISIYOUMIZA KULINGANA NA UMBALI WA ENEO ULILOPO, MSEMO WETU NDANI YA USIRI TRANSPORTATION NI UAMINIFU KWANZA KARIBUNI SANA WATEJA WETU 



Jumamosi, 19 Septemba 2020

Wasiliana nasi kwa huduma za:

Tiketi za mabasi.

Kusafirisha vifurushi.

Kupeleka na kuchukua vifurushi.

Tupigie 0762366041
 


 


LENGO NI KUFIKISHA MIZIGO YA WATEJA KWA USALAMA NA WAKATI. HUTOJUTIA KUFANYA KAZI NA @usiri_transportation_services


OFA! OFA!
KWA WAFANYA BIASHARA WENYE MADUKA WATAKAO SAFIRISHA MIZIGO KUPITIA @usiri_transportation_services TUTAKUJA KUCHUKUA BURE KISHA KUISAFIRISHA.
TUPIGIE 📞0762366041

Ijumaa, 18 Septemba 2020


 fast delivery by usiri traspotation services

Tunasafirisha KIFURUSHI na MIZIGO sehemu yoyote Tanzania na njee ya nchi karibu sana