USIRI TRANSPORTATION SERVICES
USIRI TRANSPORTATION NI KAMPUNI YENYE UWELEDI WA KAZI KUKUHAKIKISHIA MTEJA UNAPATA MZIGO WAKO KWA UHAKIKA NA UAMINIFU WA HALI YA JUU LICHA YA HUDUMA TUNAYOTOA BEI ZETU NI RAFIKI ZAIDI KWA WATEJA WETU TUNAPENDA KUWAKARIBISHA WATEJA WETU KARIBUNI SANA USIRI TRANSPORTATION IS THE BEST FOR YOUR SERVICES KARIBU TUKUHUDUMIE
PIA USIRI TRANSPORTATION INADEAL NA MIKOA YOTE HATA NCHI JIRANI KAMA KENYA MOMBASA PIA KWA WALIOPO DAR ES SALAAM TUNAHUDUMA YA KUFUATA MZIGO KWA WATEJA WETU KWA BEI NZURI KABISA ISIYOUMIZA KULINGANA NA UMBALI WA ENEO ULILOPO, MSEMO WETU NDANI YA USIRI TRANSPORTATION NI UAMINIFU KWANZA KARIBUNI SANA WATEJA WETU